BREAK NEWS

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limewakamata watu wawili



#mchomonews: Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limewakamata watu wawili, Amani Chari na Yuda Mbata kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano kwenye mitandao ya kijamii ambayo yamepangwa kufanyika nchi nzima.

No comments