BREAK NEWS

Jeshi la Polisi mkoa wa Kinondoni linamshikilia mtumishi mmoja



#mchomonews: Jeshi la Polisi mkoa wa Kinondoni linamshikilia mtumishi mmoja wa ubalozi wa Syria kwa sababu za kiupelelezi kufuatia kuvamiwa kwa mhasibu wa ubalozi huo hapa nchini Hassan Alfaouri na kuporwa fedha kiasi cha Euro 93,000.

No comments