BREAK NEWS

Watu 7 wamefariki katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania



#mchomonews: Watu 7 wamefariki katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania iliyotokea katika kijiji cha Mkongoro mkoani Kigoma.

Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni dereva wa lori kushindwa kulimudu wakati akishuka kwenye mteremko uliokuwa na kona kali.

No comments