BREAK NEWS

Kampuni ya Microsoft imesema itamsaidia vifaa mwalimu kutoka Ghana



#mchomonews: Kampuni ya Microsoft imesema itamsaidia vifaa mwalimu kutoka Ghana, Owura Kwadwo ambaye picha zake zilisambaa katika mitandao zikimwonyesha akiwafundisha wanafunzi programu ya Microsoft Word kwenye ubao.

No comments