BREAK NEWS

LIVE KUTOKA KATIKA UWANJA WA SOKOINE MBEYA MAMBO YANAVYO ENDELEA MDA HUU



Angalia picha za Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Mbeya (Mrefa) Elias Mwanjala (aliyeinama) akiendelea akiendelea na kazi ya kutoa maji kwa kutumia magodoro kwenye Uwanja wa Sokoine hii leo ambapo Mbeya City vs Mwadui zilizokwenda mapumziko matokeo yakiwa 0-0.



No comments