#mchomonews: Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameuambia ujumbe kutoka Korea Kusini kwamba anataka kuandika historia mpya ya kuyaunganisha mataifa hayo. Amesema hayo wakati wa chakula cha jioni na ujumbe huo mjini Pyongyang.
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameuambia ujumbe kutoka Korea Kusini kwamba anataka kuandika historia mpya
Reviewed by Unknown
on
March 05, 2018
Rating: 5
No comments