BREAK NEWS

Serikali ya Ufaransa imeipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua inazochukua



#mchomonews: Serikali ya Ufaransa imeipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua inazochukua katika mapambano dhidi ya rushwa na inaamini fedha zinazotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali zitatumika kama ilivyokusudiwa.

No comments