BREAK NEWS

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amesema NASA ipo tayari kufanya mazungumzo na serikal



##mchomonew: Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amesema NASA ipo tayari kufanya mazungumzo na serikali ili kumaliza mgogoro wa kisiasa. Amesema nia yao ni kuikomboa nchi kutoka katika uongozi mbaya na kumaliza udhalimu katika uchaguzi.

No comments