BREAK NEWS

Rais wa Rwanda Paul Kagame ameshangazwa na idadi kubwa ya makanisa (700)



#mchomonews: Rais wa Rwanda Paul Kagame ameshangazwa na idadi kubwa ya makanisa (700) ambayo yamefungwa nchini humo kutokana na kutotimiza masharti. Amesema hakutegemea kama kuna idadi kubwa hivyo ya makanisa na yote yanawahubiria watu.

No comments