BREAK NEWS

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo ameitaka Takukuru wilayani Kasulu kuchunguza madai ya wanachama



#mchomonews: Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo ameitaka Takukuru wilayani Kasulu kuchunguza madai ya wanachama wa Kikundi cha Wachimbaji Chokaa cha Makere kwamba mmoja wao amewageuka na kutumia peke yake fedha za ruzuku zilizotolewa na Serikali kwa kikundi hicho.

No comments