#mchomonews: Mamlaka katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali imepiga marufuku misikiti katika wilaya ya Nyarugenge kutumia vipaza sauti wakati wa adhana kwa madai kwamba kelele hizo ni kero kwa watu wengine ambao wanaishi maeneo ya jirani na misikiti hiyo.
No comments