BREAK NEWS

NCHI 10 ZENYE FURAHA ZAIDI DUNIANI MWAKA 2018 ZATAJWA



NCHI 10 ZENYE FURAHA ZAIDI DUNIANI MWAKA 2018 ZATAJWA:

#10 AUSTRALIA yenye watu milioni 24

#9 SWEDEN yenye watu milioni 10

#8 NEW ZEALAND yenye watu milioni 4.8

#7 CANADA yenye watu milioni 35

#6 Netherlands yenye watu milioni 17

#5 SWITZERLAND yenye watu milioni 8

#4. ICELAND yenye idadi ya watu laki tatu na elfu 48

#3. DENMARK yenye watu milioni 5.7

#2. NORWAY yenye watu milioni 5.2

#1. FINLAND yenye watu milioni 5.5 #MillardAyoUPDATES




No comments