BREAK NEWS

Kamati ya Maadili ya TFF imemfungia maisha kutojihusisha na mchezo wa mpira wa miguu Makamu wa Rais wa shirikisho hilo



#mchomonews: Kamati ya Maadili ya TFF imemfungia maisha kutojihusisha na mchezo wa mpira wa miguu Makamu wa Rais wa shirikisho hilo, Michael Wambura baada ya kukumkuta na hatia ya makosa matatu ikiwemo kupokea fedha za malipo ambayo hayakuwa halali.

No comments