BREAK NEWS

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi



##mchomonews: Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema mkoa wa kipolisi wa Kinondoni jijini Dar unaongoza kwa matukio ya kihalifu nchini ukifuatiwa na mkoa wa kipolisi wa Ilala.


No comments