BREAK NEWS

Urusi imesema hivi karibuni itawafukuza wanadiplomasia wa Uingereza



#mchomonews: Urusi imesema hivi karibuni itawafukuza wanadiplomasia wa Uingereza ili kulipiza kisasi baada ya Waziri Mkuu Theresa May kuwafukuza wanadiplomasia wake 23 siku ya Jumatano.


No comments