BREAK NEWS

Nawapongeza wanawake wote kwa kusherehekea siku yenu ya leo



#mchomonews:"Nawapongeza wanawake wote kwa kusherehekea siku yenu ya leo na hasa kwa mchango wenu mkubwa mnaoutoa kwa jamii. Daima tutaendelea kuwaheshimu, kuwapa ushirikiano na kutambua juhudi zenu katika kujenga ustawi wa jamii yetu."- Rais Dkt. John Magufuli.

No comments