Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe kuhusu wanaosema Bunge limekuwa sehemu ya Serikali
#mchomonews: Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe kuhusu wanaosema Bunge limekuwa sehemu ya Serikali, "Huwezi kusimama hadharani ukasema kwamba Bunge hili limewekwa sehemu ya serikali, haliwezi kuisimamia serikali, alafu na wewe umo katika Bunge hilo, uhalali wa kutoa kauli hiyo jambo la kwanza ni wewe kukaa nje ya hilo Bunge."
No comments