PAMOJA NA KUTOA DROO UGENINI SIMBA WAONDOLEWA RASMI KOMBE LA SHIRIKISHO
PAMOJA NA KUTOA DROO UGENINI SIMBA WAONDOLEWA RASMI KOMBE LA SHIRIKISHO
Mpira umeisha Mjini Misri, Al Masry wanafanikiwa kusonga mbele baada ya kupata sare ya kutofungana wakiwa nyumbani, hii inatokana na Kutoa droo ya magoli 2-2 ugenini.
Simba wanaondoka rasmi kwenye mashindano haya baada ya kuruhusu magoli 2-2 nyumbani na kutoa droo ugenini, hivo Masry wanasonga mbele kwa kigezo cha kutofungwa nyumbani.
FATILIA HAPA CHINI DAKIKA ZOTE 90 ZILIVYOKUWA MPAKA MPIRA UNAISHA
Dakika ya 8 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 12 Al Masry 0-0 Simba Sc, Masry wanaonekana kutaka goli la mapema hapa.
dakika ya 16 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 18 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 27 bado milango ni migumu kwa kila timu.
Ikumbukwe mchezo wa awali timu hizi zilitoka droo ya magoli 2-2, Dar es salaam, hivi Simba inaitaji ushindi wowote au sare ya magoli 3-3 kuweza kusonga mbele.
Matokeo tafauti na hayo Simba itaaga rasmi michuano hiyo, ni dakika ya 29 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 31 Al Masry 0-0 Simba Sc.
Dakika ya 36 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 38 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 42 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 45 Al Masry 0-0 Simba Sc.
Dakika 3 za nyongeza Al Masry 0-0 Simba Sc, mpira ni mapumziko Al Masry 0-0 Simba Sc agg 2-2.
Kipindi cha pili kimeshaanza ni dakika ya 46 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 49 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 52 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 54 Al Masry 0-0 Simba Sc
Dakika ya 58 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 62 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 65 Simba wanafanya mabadiliko ya kwa za anatoka Yusuf Mlipili anaingia Laudit Mavugo
Dakika ya 68 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 70 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 74 anatoka James Kotei anaingia Shiza Kichuya, dakika ya 78 Al Masry 0-0 Simba Sc.
Dakika ya 83 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 88 Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika 5 za nyongeza Al Masry 0-0 Simba Sc, dakika ya 90+4 Al Maary 0-0 Simba Sc.
No comments