BREAK NEWS

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akila chakula na ndugu zake



#mchomonews: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akila chakula na ndugu zake kwenye msiba wa baba yake mdogo Said Lumaliza (1917-2018) nyumbani kwake kijijini Msigi karibu na Msoga.


No comments