BREAK NEWS

Rais wa Marekani Donald Trump amekubali ombi la Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un



#mchomonews: Rais wa Marekani Donald Trump amekubali ombi la Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un la kutaka wakutane mwezi Mei mwaka huu baada ya Korea Kaskazini kukubali kusitisha mpango wa nyuklia na majaribio ya makombora.

No comments