BREAK NEWS

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesema Rais wa zamani wa nchi hiyo, Robert Mugabe ana haki ya kusema



##mchomonews: Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesema Rais wa zamani wa nchi hiyo, Robert Mugabe ana haki ya kusema anachotaka kama raia yeyote wa kawaida.

Amesema tangu aondolewe madarakani nchi imepiga hatua na kwa sasa inajiandaa na uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Agosti.

No comments