Wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wametolewa kwenye mashindano hayo na timu ya Township Rollers ya Botswana baada ya kutoka sare ya bila kufungana katika mchezo wa marudiano na hivyo matokeo ya jumla kuwa Rollers 2-1 Yanga.
No comments