Simba imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa goli la ugenini baada ya kutoa sare ya bila kufungana katika mchezo wa marudiano na Al Masry ya Misri. Mchezo wa kwanza uliopigwa jijini Dar timu hizo zilitoka sare ya goli 2-2.
Simba imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika
Reviewed by Unknown
on
March 17, 2018
Rating: 5
No comments