BREAK NEWS

: Serikali ya Uganda imeanza uchunguzi dhidi ya kampuni mbili



#mchomonews: Serikali ya Uganda imeanza uchunguzi dhidi ya kampuni mbili baada ya kuhusishwa na kitendo cha kusambaza dawa feki za chanjo ya homa ya ini kwa vituo vya afya vya binafsi.

No comments