BREAK NEWS

Shirika la Reli Tanzania limeingia makubaliano na kampuni ya Progress Rail Locomotives



#mchomonews: Shirika la Reli Tanzania limeingia makubaliano na kampuni ya Progress Rail Locomotives (PRL) ya Marekani kwa ajili ya kuvinunua vichwa 11 vya treni kwa Dola milioni 26.4 ambavyo vilikuwa bandarini vikiwa havina mwenyewe.



No comments