BREAK NEWS

Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) imesema imepokea majeruhi 8



:
Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) imesema imepokea majeruhi 8 wa ajali iliyotokea siku ya Jumamosi Machi 24 katika kijiji cha Mparange wilaya ya Mkuranga, Pwani na kusababisha vifo vya watu 26.

Meneja Uhusiano na Ustawi MOI, Jumaa Almasi amesema majeruhi wengi waliumia kichwani.


No comments