TIZAMA HAPA RATIBA YA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA MARCH 03-2018

Baada ya mchezo mmoja wa jana kati ya Simba Sc dhidi ya Stand United, huku mchezo huo ukiisha kwa sare ya 3-3, ligi kuu Tanzania Bara raundi ya 20 inatarajiwa kuendelea tena leo Jumamosi ya March 03 kwa jumla ya michezo minne itakayochezwa katika viwanja tofauti tofauti.
Mchezo wa mapema utachezwa mchana majira ya saa 14:00 kati ya Njombe Mji vs Ruvu Shooting kwenye uwanja wa Sabasaba-Njombe
Kagera Sugar watawakaribisha Majimaji Fc saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Kaitaba-Bukoba
Azam Fc watakuwa wenyeji wa Singida United saa 19:00 usiku kwenye uwanja wa Azam Complex (Chamanzi)
Tanzania Prisons watawakaribisha Mbao Fc saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Sokoine-Mbeya.

No comments