BREAK NEWS

Serikali yaomba kukopeshwa Dola Milioni 150



Serikali yaomba kukopeshwa Dola Milioni 150


Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango ameiomba Benki ya Dunia (WB), kuipa Tanzania mkopo wa Dola 150 milioni za Marekani ili kuchochea ukuaji wa uchumi na utoaji wa huduma nchini.
Dk Mpango ametoa ombi hilo alipokutana na Mkurugenzi wa Uchumi Mpana, Biashara na Uwekezaji wa Benki ya Dunia, Felipe Jaramilo katika ofisi za Wizara ya Fedha na Mipango jijini DSM ambapo Waziri Mpango alifanikiwa kumuelezea Mkurugenzi huyo namna Uchumi wa Tanzania unavokua.
COMMENTS
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa ← PREVIOUS STORY
VideoMpya: ‘Check It’ ya Chin Bees kutoka katika Album yake “Ladha” TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa PICHA: Mwigulu atembelea nyumba 13 Mpya za Askari baada ya za awali kuungua Waziri Mpango ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuendelea kuisaidia Serikali ya Tanzania haswa hii iliyopo madarakani katika kutekeleza miradi ya maedeleo nchini.

No comments