Nyota wa Brazil, Neymar ameposti picha hii yenye kuonyesha mtindo wake mpya wa nywele kwenye Instagram. Neymar ni majeruhi kwa sasa na yupo mapumziko nyumbani kwao baada ya kufanyiwa upasuaji
No comments