Mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania kati ya Real Madrid na Atletico Madrid umeisha kwa sare ya goli 1-1.
Real Madrid ndio ilikuwa ya kwanza kupata goli kupitia kwa Cristiano Ronaldo katika dakika ya 53 na Antoine Griezmann akasawazisha katika dakika ya 57.
No comments