BURUNDI: Makamu wa kwanza wa Rais Gaston Sindimwo pamoja na Warundi wakijiandikisha kupiga kura katika vituo vya vya kujiandikisha.Wafanyakazi wa umma mchumi humo wameanza kukatwa mshahara ili kufadhili uchaguzi mkuu unaotarajiwa mwaka 2020.
BURUNDI: Makamu wa kwanza wa Rais Gaston Sindimwo pamoja na Warundi wakijiandikisha kupiga kura
Reviewed by Unknown
on
February 08, 2018
Rating: 5
No comments