: Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Sumbwanga Dk. Khalfan Haule kuhakikisha anatafuta dawa ya kuua panya wakiwa mashambani ili kuokoa miti kutokana na uchomaji wa misitu kwa sababu ya uwindaji wa panya.
: Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Sumbwanga Dk. Khalfan
Reviewed by Unknown
on
February 09, 2018
Rating: 5
No comments