Haruna Niyonzima anatarajia kusafiri ndani ya siku hizi mbili kwenda India
“Haruna Niyonzima anatarajia kusafiri ndani ya siku hizi mbili kwenda India kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji mdogo kwenye mguu, haitachukua zaidi ya wiki mbili atakuwa amerejea uwanjani.
:
“Wachezaji wengine wa Simba ambao walikuwa na majeraha wameanza kurejea kwenye mazoezi ya pamoja na timu. Said Mohamed 'Nduda' ameshaanza mazoezi lakini Salim Mbonde anatarajia kujiunga mazoezini wakati wowote baada ya kumaliza program ya gym na beach." - @hajismanara

No comments