BREAK NEWS

Polisi mjini Dhaka, Bangladesh wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa kiongozi wa upinzani, Khaleda Zia



Polisi mjini Dhaka, Bangladesh wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa kiongozi wa upinzani, Khaleda Zia (72) ambaye amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani kwa kosa la rushwa. Wafuasi hao wanapinga hukumu hiyo wakisema ni ya kisiasa.


No comments