BREAK NEWS

HUU NDIO MLIMA WANAOENDA KUUPANDA SIMBA KOMBE LA SHIRIKISHO




Baada ya ushindi wa jana wa bao 1-0 dhidi ya Gendarmerie ya Djibout, Simba imefuzu katika hatua hiyo ya awali kwa ushindi wa goli 5-0.
Ushindi huo unaipeleka Simba hadi Misri kupambana na Mafarao wa Misri, Al Masry katika hatua inayofuata.
England Live
TV Uzivo Pamoja na kupoteza jana kwa bao 2-1 wakiwa ugenini dhidi ya Green Buffaloes ya Zambia, Al Masry wamefuzu kwa jumla ya mabao 5-2 baada ya ushindi wao wa mabao 4-0 wakiwa nyumbani Misri.
Mchezo wa kwanza utapigwa Misri kati ya Match 09, 10 au 11 mwaka huu, ambapo Simba watasafiri hadi Misri kabla ya tarehe hiyo, na mchezo wa pili utafanyika hapa Tanzania.
Simba ina heshima kubwa kwa kuwa imewahi kuivua Ubingwa na kuing’oa mashindanoni Zamalek ya Misri, moja ya klabu maarufu barani Afrika.

No comments