BREAK NEWS

Rais Magufuli alivyoondoka kuelekea nchini Uganda




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo February 21, 2018 ameondoka Jijini Dar es salaam na kuelekea Kampala nchini Uganda kushiriki mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Afrika ya Mashariki unaofanyika Kampala nchini Uganda.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amesindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda wakati akeielekea kwenye ndege yake tayari kwa safari ya kuelekea nchini Uganda

No comments