#mchomonews: Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi Mabingwa Afrika, Yanga wameibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Saint Louis Suns United ya Shelisheli katika mchezo wa kwanza wa raundi ya awali ya ligi hiyo. Goli pekee la Yanga limefungwa na Juma Mahadhi dakika ya 67.
No comments