#mchomonews: Rais Mstaafu Liberia Ellen Johnson Sirleaf ameshinda tuzo ya mwaka ya Uongozi Bora Afrika ya Mo Ibrahim ambayo hutolewa kwa viongozi wa Afrika ambao wameonekana kuwa na utawala mzuri.
Rais Mstaafu Liberia Ellen Johnson Sirleaf ameshinda tuzo ya mwaka ya Uongozi Bora Afrika
Reviewed by Unknown
on
February 11, 2018
Rating: 5
No comments