Mtandao wa Facebook umeanza majaribio ya kipengele kipya cha kutokupenda ujumbe "dislike
#mchomonew: Mtandao wa Facebook umeanza majaribio ya kipengele kipya cha kutokupenda ujumbe "dislike" na namna mpya ambayo itawezesha watumiaji kuficha maoni yanayoandikwa na watumiaji wengine katika katika ujumbe au picha wanazopost. Majaribio hayo kwa sasa yanafanyika kwa baadhi ya watumiaji nchini Marekani.
No comments