BREAK NEWS

Jana Februari 26, 2018 mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi ameivunja rekodi ya Simon Msuva



Jana Februari 26, 2018 mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi ameivunja rekodi ya Simon Msuva na Abdulrahman Musa baada ya kufikisha magoli 16 kwenye ligi kuu Tanzania bara ikiwa ni mzunguko wa 19 raundi ya pili msimu huu (2017/18).
:
Msuva na Musa walikuwa wafungaji bora wa msimu uliopita kwa kufunga magoli 14, msimu huu ukiwa bado umebakiza mechi 11 kumalizika - Okwi tayari amefunga magoli 16.

No comments