Kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba huenda akachezeshwa katika awamu ya kwanza ya mechi ya klabu bingwa dhidi ya Sevilla ugenini.
Pogba alikosa mechi ya ushinda 2-0 dhidi ya Huddersfield katika kombe la FA siku ya Jumamosi kutokana na kuugua lakini alifanya mazoezi siku ya Jumanne.
No comments