BREAK NEWS

Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imeitaka serikali kumkamata Rais wa Sudan, Omar Al Bashir



#mchomonews: Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imeitaka serikali kumkamata Rais wa Sudan, Omar Al Bashir pindi atakapotembelea nchi hiyo ili afikishwe katika Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kujibu tuhuma za uhalifu wa kivita na mauaji.

No comments