Simba imefanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenjeji Gendarmerie katika mchezo wa marudiano, goli hilo limefungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 55.
Simba wanasonga mbele kwa jumla ya bao 5-0.
Baada ya ushindi huo Simba watakutaba na Al-Masry ya Misry
No comments