BREAK NEWS

Mke wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela, Graca Machel amewataka vijana katika bara la Afrika kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.



#mshananews: Mke wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela, Graca Machel amewataka vijana katika bara la Afrika kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.

"Afrika haihitaji viongozi wenye miaka 75 au 65. Tunahitaji viongozi wenye umri mdogo, mahiri na wabunifu."- Graca Machel.

No comments