Wydad Athletic Club ya Morocco imetwaa Kombe la Super Cup baada ya kuifunga TP Mazembe kwa bao 1-0 katika mchezo uliofanyika nchini Morocco.
Wydad ni mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika 2017, huku TP Mzembe wakiwa ni mabingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika 2017
No comments