Rais wa FIFA amemtaja Mbwana Samatta leo
Alfajiri ya February 22 2018 Rais wa shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA Gianni Infantino akiongozana na Rais wa shirikisho la soka Afrika CAF Ahmad Ahmad waliwasili
Dar es Salaam Tanzania kwa ajili ya mkutano wa FIFA utakaofanyika nchini Tanzania February 22 2018.
Baaada ya Gianni Infantino kuwasili Dar es Salaam akiwa uwanja wa ndege alipata nafasi ya kuzungumza na waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr Harrison Mwakyembe ndipo alipomtaja nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta anayecheza soka kulipwa KRC Genk ya Ubelgiji .
No comments