Rashid Mandawa 🇹🇿 (kulia) amefunga mabao 3 (Hat-trick) katika ushindi wa mabao 3-1 wa timu yake BDF XI dhidi ya Township Rollers. Mandawa amefikisha mabao 11, na pasi 3 za mabao katika michezo 16 aliyocheza ya Ligi Kuu Botswana.
No comments