#mchomonews: Serikali ya Botswana imemshauri Rais wa DR Congo Joseph Kabila kutekeleza matakwa ya wananchi ya kujiuzulu ili kuepusha hatari ambayo inaweza kujitokeza katika nchi hiyo. Pia imeyataka mataifa mengine kuongeza shinikizo kwa Kabila ili ajiuzulu.
No comments