#mchomonews: Klabu ya Fiorentina imesema itampa mkataba wa maisha nahodha wa timu hiyo Davide Astori ambaye alifariki dunia akiwa amelala siku ya jumapili na fedha zake zote atapewa mke na mtoto wake wa miaka miwili.
Klabu ya Fiorentina imesema itampa mkataba wa maisha nahodha wa timu hiyo
Reviewed by Unknown
on
March 05, 2018
Rating: 5
No comments