BREAK NEWS

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameruhusiwa kutoka hospitalini



#mchomonews: Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi alipofikishwa jana usiku baada ya kuugua ghafla.

No comments